
Moja ya mbegu ndogo za mbwa. Asili yake ni Afrika Mashariki, kumbukumbu zake zinapatikana kwenye ma piramidi ya kale kwa njia ya michoroUkienda vijijini utawakuta na ni maarufu sana kwa kazi ya uwindaji
Ni mbwa ambaye hana tabia ya kubwaka bwaka hovyo, wakimya makini, anajiamini
Jina la mbwa koko limetokana na mbwa huyu

No comments:
Post a Comment